• Breaking News

    Wema Sepetu Aapa Kuirudisha Bongo Movies Katika Ubora Wake Kama Zamani

    Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya

    Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake katika kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa kwani amedhamiria kuirudisha Bongo Movies katika kiwango cha enzi zile za Kanumba

    No comments

    Post Top Ad