• Breaking News

  Serikali kutangaza milima ya MBEYA kuwa sehemu mahususi


   
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira JANUARI MAKAMBA
   

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira JANUARI MAKAMBA amesema serikali itatangaza safu za milima ya MBEYA
   
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais muungano na mazingira  JANUARI MAKAMBA  amesema serikali itatangaza safu za milima ya MBEYA kuwa sehemu mahususi ili kutunza vyanzo vya maji yanayopatikana katika milima hiyo.
  Waziri  MAKAMBA amesema hayo mkoani MBEYA wakati alipotembelea vyanzo vya maji vya milima ya MBEYA ambapo amesema  shughuli za kibinadamu zimepunguza vyanzo vya maji mkoani humo  kutoka vyanzo HAMSINI na NNE hadi vyanzo VINNE.
  Pia Waziri MAKAMBA ametoa wito kwa wadau mbalimbali wa mazingira  kutoa ushirikiano katika kutunza vyanzo vya milima ya MBEYA  ili kuepusha gharama  ambazo zinaweza kupatikana baada ya vyanzo hivyo kutoweka.

  No comments

  Post Top Ad