• Breaking News

  Milioni 100 za JIONGEZE NA M-POWER zapata mshindi  NOEL MAZOYA
   
  PAULINA KULWA kutoka jiji la MWANZA amejishindia shilingi milioni MIA MOJA baada ya kujishindia bahati nasibu ya JIONGEZE NA M-POWER inayoendeshwa na VODACOM TANZANIA kwa kushirikiana na BENKI ya CBA.
   
  Akizungumza wakati wa kutangaza mshindi huyo,meneja masoko wa VODACOM TANZANIA, NOEL  MAZOYA amesema,huduma ya M-POWER imeanzishwa ili kuwainua kiuchumi watanzania wa kipato cha chini.
  Washindi wengine wa JIONGEZE na M-POWER wameshindia zawadi kuwania milioni moja hadi milioni 20.

  No comments

  Post Top Ad