• Breaking News

  Meneja wa Diamond Platnumz Amemposti Mtandaoni Meneja wa Alikiba

  Katika zile lugha za Kimitandao siku ya Jumatano hupewa ‘Kinashi’ cha ‘WCW’ (Woman Crash Wednesday) yaani kumposti Mwanamke aliyekonga hisia zako na kumuhusudu zaidi.

  Kilichowashangaza Mashabiki wengi zaidi kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni bifu baina yao.

  Leo meneja wa Kimataifa wa Muimbaji Diamond Platnumz, Sallam ‘Mendez’, amemposti Meneja wa Hasimu wao Kibiashara, Mrembo Seven Mosha kama #WCW wake.

  No comments

  Post Top Ad