• Breaking News

  Kiongozi wa juu wa ANC ataka viongozi wote wa chama kujiuzulu  JACKSON MTHEMBU

  Mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu wa chama Tawala nchini AFRIKA KUSINI cha ANC, - JACKSON MTHEMBU amewataka viongozi wote wa chama hicho kujiuzulu
  Mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu wa chama Tawala nchini AFRIKA KUSINI cha ANC, -JACKSON MTHEMBU amewataka viongozi wote wa chama hicho kujiuzulu akiwemo RAIS JACOB ZUMA.
  MTHEMBU amesema kuwa viongozi wote wanatakiwa kuwajibika kwa sababu ya machafuko ndani ya ANC.
  MTHEMBU ameongeza kuwa shutuma za ubadhirifu  wa fedha zinazomkabili waziri wa Fedha  wa nchi hiyo zimechochewa na masuala ya kisiasa.

  No comments

  Post Top Ad