• Breaking News

  FILAMU na MUZIKI wa Kitanzania kutamba Barani Afrika  WASANII wa FILAMU na MUZIKI wameshauriwa kuzalisha kazi zenye uweledi ili ziweze kushindana na kazi nyingine za FILAMU na MZIKI barani Afrika.
  BARAKA SHELUKINDO
  Kauli hiyo imetolewa na Meneja uendeshaji wa MULTCHOICE TANZANIA, BARAKA  SHELUKINDO wakati akitangaza mikakati ya kuwaendeleza wasanii wa Tanzania na kupungua kwa bei ya malipo kwa wateja wanaotumia huduma za DSTV.
  SHELUKINDO amesema DSTV inakuja na programu nyingi za lugha ya kiswahili ambazo zinalenga kuwainua wasanii wa TANZANIA ili kufika katika hadhi ya kimataifa.

  No comments

  Post Top Ad